Skip to content

Utakapo ulizwa: ipi hukumu ya mwenye kuitakidi kwamba ulimwengu unpangiliwa na kushiliwa na fito nne au saba , au kwamba kuna vigingi vilivyo shikilia kinyume cha Allah, au vinashirikiana na Mwenyezi Mungu?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: ipi hukumu ya mwenye kuitakidi kwamba ulimwengu unpangiliwa na kushiliwa na fito nne au saba , au kwamba kuna vigingi vilivyo shikilia kinyume cha Allah, au vinashirikiana na Mwenyezi Mungu?

الجواب

Jawabu/ Sema: Mwenye kuitakidi hivyo wanachuoni wamekubaliana kuwa ni kafiri, kwasababu ameitakidi kuwepo mwenyekushiriana na Mwenyezi Mungu katika Uungu wake.