Skip to content

Ukiulizwa: Nini maana ya Ibada?

السؤال

Swali/ Ukiulizwa: Nini maana ya Ibada?

الجواب

Jawabu/ Sema: Ibada ni kila anacho penda Allah na kukiridhia katika Maneno na vitendo vya ndani na nje, ambavyo ametuamrisha Allah Mtukufu kuviamini au kuvisema au kuvifanya, kama kumuogopa yeye kumtaraji, bkumpenda, kumuomba msaada, kumuomba nusra na kuswali na kufunga.