Skip to content

Utakapo ulizwa: Mwenyezi Mungu ameumba viumbe kwa sababu gani?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: Mwenyezi Mungu ameumba viumbe kwa sababu gani?

الجواب

Jawabu/ Sema: Amebainisha Allah ukweli wa kubainisha malengo hayo, kwamba aliumba viumbe watu na majini ili wamuabudu yeye peke yake hana mshirika na ibada hiyo ni kutii amri zake na nikujiepkusha na makatazo yake, Amesema Allah Mtukufu: {Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi} (Adh- dhariyat 56) na amesema Allah Mtukufu: {Muabuduni Mwenyezi Mungu na msimshirikishe na chochote} (Annisaai36)