Skip to content

Utakapo ulizwa: vipi inakuwa kumuamini Mwenezi Mungu Mtukufu?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: vipi inakuwa kumuamini Mwenezi Mungu Mtukufu?

الجواب

Jawabu/ Sema: Kumuamini Mwenezi Mungu nikusadikisha na kuwa na yakini na kukiri kuwepo kwa Allah Mtukufu na upweke wake katika Ungu wake na katika ibada zake na katika majina yake na sifa zake.