Skip to content
الغَاشِية /

Aya 21

88 : 21
الغَاشِية Aya 26
Sura · الغَاشِية
Kiswahili · Barawani
88 : 21

فَذَكِّرۡ إِنَّمَآ أَنتَ مُذَكِّرٞ

Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi kumbusha kwa wito wako, kwani kazi yako muhimu ni kufikisha wito tu.