Skip to content
الطَّارق /

Aya 10

86 : 10

Aya 10 of الطَّارق (86 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الطَّارق Aya 17
Sura · الطَّارق
Kiswahili · Barawani
86 : 10

فَمَا لَهُۥ مِن قُوَّةٖ وَلَا نَاصِرٖ

Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi hapana mtu wakati huo ataye kuwa na nguvu ya kujikinga nafsi yake, wala hatakuwa na msaidizi wa kumnusuru.