Skip to content
الطَّارق /

Aya 9

86 : 9
الطَّارق Aya 17
Sura · الطَّارق
Kiswahili · Barawani
86 : 9

يَوۡمَ تُبۡلَى ٱلسَّرَآئِرُ

Siku zitakapo dhihirishwa siri.

Explanation & meanings · 1
  1. Siku dhamiri zitapo fanyiwa mtihani, na zitengwe mbali mbali baina ya ziliyo kuwa nzuri na ziliyo kuwa mbovu.