85 : 20
وَٱللَّهُ مِن وَرَآئِهِم مُّحِيطُۢ
Na Mwenyezi Mungu nyuma yao amewazunguka.
Explanation & meanings · 1
- Na Mwenyezi Mungu anawaweza hao, na anawajua vilivyo.
وَٱللَّهُ مِن وَرَآئِهِم مُّحِيطُۢ
Na Mwenyezi Mungu nyuma yao amewazunguka.