Skip to content
البُرُوج /

Aya 19

85 : 19

Aya 19 of البُرُوج (85 : 19). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

البُرُوج Aya 22
Sura · البُرُوج
Kiswahili · Barawani
85 : 19

بَلِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فِي تَكۡذِيبٖ

Lakini walio kufuru wamo katika kukadhibisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Bali hao makafiri katika kaumu yako ni shadidi zaidi katika kukukadhibisha kuliko hawa walivyo wakadhibisha Mitume wao.