85 : 21 بَلۡ هُوَ قُرۡءَانٞ مَّجِيدٞ Bali hii ni Qur'ani tukufu 21Hide explanation (1)Explanation & meanings · 121Bali hii ulio waletea ni Qur'ani tukufu inadhihirisha hoja za ukweli wako.