Skip to content
المُطَففين /

Aya 18

83 : 18

Aya 18 of المُطَففين (83 : 18). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُطَففين Aya 36
Sura · المُطَففين
Kiswahili · Barawani
83 : 18

كَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡأَبۡرَارِ لَفِي عِلِّيِّينَ

Hasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika I'liyyin.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni hakika kuwa vitendo vya watu wema bila ya shaka vimeandikwa katika I'liyyin.