Skip to content
التَّكوير /

Aya 25

81 : 25
التَّكوير Aya 29
Sura · التَّكوير
Kiswahili · Barawani
81 : 25

وَمَا هُوَ بِقَوۡلِ شَيۡطَٰنٖ رَّجِيمٖ

Wala hii si kauli ya Shetani maluuni.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala huu wahyi (ufunuo) ulio teremshwa juu yake si kauli ya Shetani aliye fukuzwa kutoka kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu.