Skip to content
التَّكوير /

Aya 23

81 : 23

Aya 23 of التَّكوير (81 : 23). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

التَّكوير Aya 29
Sura · التَّكوير
Kiswahili · Barawani
81 : 23

وَلَقَدۡ رَءَاهُ بِٱلۡأُفُقِ ٱلۡمُبِينِ

Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ninaapa kuwa Muhammad s.a.w. bila ya shaka alimwona Jibrili katika upeo wa macho kwa mujibu wa inavyo onekana.