Skip to content
التَّكوير /

Aya 22

81 : 22
التَّكوير Aya 29
Sura · التَّكوير
Kiswahili · Barawani
81 : 22

وَمَا صَاحِبُكُم بِمَجۡنُونٖ

Na wala huyu mwenzenu hana wazimu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na huyo Mtume wenu ambaye ni mwenzenu, mnaye mjua kuwa ana akili timamu, si mwendawazimu.