79 : 28
رَفَعَ سَمۡكَهَا فَسَوَّىٰهَا
Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri.
Explanation & meanings · 1
- Na kunyanyua kimo chake, na zikakaa sawa hazina tafauti wala ila?
Aya 28 of النَّازعَات (79 : 28). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
رَفَعَ سَمۡكَهَا فَسَوَّىٰهَا
Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri.