Skip to content
النَّازعَات /

Aya 12

79 : 12

Aya 12 of النَّازعَات (79 : 12). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّازعَات Aya 46
Sura · النَّازعَات
Kiswahili · Barawani
79 : 12

قَالُواْ تِلۡكَ إِذٗا كَرَّةٌ خَاسِرَةٞ

Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara!

Explanation & meanings · 1
  1. Wanasema, kwa kukanya na kejeli: Kurejea huko kama kukitokea basi ni marejeo ya khasara, na sisi si watu wa kukhasiri.