Skip to content
المُرسَلات /

Aya 48

77 : 48

Aya 48 of المُرسَلات (77 : 48). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 48

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ ٱرۡكَعُواْ لَا يَرۡكَعُونَ

Na wakiambiwa: Inameni! Hawainami.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wakiambiwa: Swalini kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na mnyenyekeeni Yeye, hawanyenyekei wala hawaswali; bali hushikilia kiburi chao!