Skip to content
المُرسَلات /

Aya 23

77 : 23

Aya 23 of المُرسَلات (77 : 23). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 23

فَقَدَرۡنَا فَنِعۡمَ ٱلۡقَٰدِرُونَ

Tukakadiria na Sisi ni wabora wa kukadiria.

Explanation & meanings · 1
  1. Nasi tukaweka vipimo katika kuumbwa kwake, na kutengenezwa kwake, na kutoka kwake. Basi wabora wa kupima na kukadiria ni Sisi.