77 : 22
إِلَىٰ قَدَرٖ مَّعۡلُومٖ
Mpaka muda maalumu?
Explanation & meanings · 1
- Mpaka kutimilia kuumbwa kwake na kutengenezwa kwake kwa muda anao ujua Mwenyezi Mungu.
Aya 22 of المُرسَلات (77 : 22). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
إِلَىٰ قَدَرٖ مَّعۡلُومٖ
Mpaka muda maalumu?