Skip to content
الإنسَان /

Aya 25

76 : 25
الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 25

وَٱذۡكُرِ ٱسۡمَ رَبِّكَ بُكۡرَةٗ وَأَصِيلٗا

Na likumbuke jina la Mola wako Mlezi asubuhi na jioni;

Explanation & meanings · 1
  1. Na dumisha kumkumbuka na kumtaja Mola wako Mlezi, na sali alfajiri mapema, na adhuhuri, na alasiri jioni,