76 : 26
وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَٱسۡجُدۡ لَهُۥ وَسَبِّحۡهُ لَيۡلٗا طَوِيلًا
Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu.
Explanation & meanings · 1
- Na usiku sali magharibi na isha. Na fanya ibada za usiku kwa muda mrefu.