Skip to content
الأعرَاف /

Aya 120

7 : 120

Aya 120 of الأعرَاف (7 : 120). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 120

وَأُلۡقِيَ ٱلسَّحَرَةُ سَٰجِدِينَ

Na wachawi wakapoomoka wakisujudu.

Explanation & meanings · 1
  1. Haya ni mambo yaliyo wafika Firauni na waheshimiwa wake. Ama wale wachawi Haki iliangaza kwao, na wakaanguka kwa kumsujudia Mwenyezi Mungu nao wanainyenyekea Haki.