Skip to content
الأعرَاف /

Aya 121

7 : 121
الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 121

قَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ

Wakasema: Tumemuamini Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Explanation & meanings · 1
  1. Huku wakisema hao wachawi walio tubia: Tumemuamini Muumba wa viumbe vyote, Mwenye kumiliki na kuendesha mambo yao yote.