Skip to content
الأعرَاف /

Aya 108

7 : 108

Aya 108 of الأعرَاف (7 : 108). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 108

وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِيَ بَيۡضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ

Na akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao.

Explanation & meanings · 1
  1. Akautoa mkono wake kutoka mfukoni mwake, na hapo hapo ukawa mweupe safi kabisa ukimeremeta katika macho ya wanao angalia!