Skip to content
الحَاقة /

Aya 47

69 : 47

Aya 47 of الحَاقة (69 : 47). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الحَاقة Aya 52
Sura · الحَاقة
Kiswahili · Barawani
69 : 47

فَمَا مِنكُم مِّنۡ أَحَدٍ عَنۡهُ حَٰجِزِينَ

Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hapana yeyote katika nyinyi, hata ange kuwa na nguvu namna gani, angeli weza kuzuia adhabu yetu isimfikilie.