69 : 36
وَلَا طَعَامٌ إِلَّا مِنۡ غِسۡلِينٖ
Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.
Explanation & meanings · 1
- Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni, ambao kwa hakika ni mchanganyiko wa damu na usaha.
Aya 36 of الحَاقة (69 : 36). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَلَا طَعَامٌ إِلَّا مِنۡ غِسۡلِينٖ
Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.