Skip to content
القَلَم /

Aya 45

68 : 45
القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 45

وَأُمۡلِي لَهُمۡۚ إِنَّ كَيۡدِي مَتِينٌ

Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu ni imara.

Explanation & meanings · 1
  1. Na nitawapa muhula kwa kuiakharisha adhabu. Hakika mipango yangu ni ya nguvu, na hawezi kuporonyoka yeyote akasalimika nayo.