Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 87

56 : 87
الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 87

تَرۡجِعُونَهَآ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli?

Explanation & meanings · 1
  1. Mrudishieni roho yake huyo aliye kabiliwa na mauti ikiwa nyinyi mwasema kweli kwamba nyinyi mnazo nguvu na hamshindwi.