56 : 88
فَأَمَّآ إِن كَانَ مِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ
Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa,
Explanation & meanings · 1
- Ama akiwa huyo aliye kabiliwa na mauti ni katika walio tangulia walio karibishwa ,
Aya 88 of الوَاقِعة (56 : 88). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَأَمَّآ إِن كَانَ مِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ
Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa,