Skip to content
النَّجم /

Aya 17

53 : 17

Aya 17 of النَّجم (53 : 17). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّجم Aya 62
Sura · النَّجم
Kiswahili · Barawani
53 : 17

مَا زَاغَ ٱلۡبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ

Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

Explanation & meanings · 1
  1. Jicho la Muhammad halikubabaika kwa aliyo yaona, na wala hakukiuka mpaka ya aliyo amrishwa kwa kuona kwake huko.