52 : 45
فَذَرۡهُمۡ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي فِيهِ يُصۡعَقُونَ
Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa.
Explanation & meanings · 1
- Waache bila ya kuwajali mpaka watakapo ikuta siku yao watapo angamizwa.