Skip to content
الطُّور /

Aya 46

52 : 46
الطُّور Aya 49
Sura · الطُّور
Kiswahili · Barawani
52 : 46

يَوۡمَ لَا يُغۡنِي عَنۡهُمۡ كَيۡدُهُمۡ شَيۡـٔٗا وَلَا هُمۡ يُنصَرُونَ

Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Siku ambayo hila zao hazitawakinga hata na chembe ya adhabu, wala hawatapata wa kuwanusuru.