Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 9

51 : 9

Aya 9 of الذَّاريَات (51 : 9). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 9

يُؤۡفَكُ عَنۡهُ مَنۡ أُفِكَ

Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Huacha kuamini hiyo ahadi ya kweli na malipo yatakayo kuwa huyo anaye acha, kwa sababu amekhiari kufuata pumbao la nafsi yake kuliko akili yake.