Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 10

51 : 10

Aya 10 of الذَّاريَات (51 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 10

قُتِلَ ٱلۡخَرَّٰصُونَ

Wazushi wameangamizwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Wameteketea waongo wanao sema katika khabari za Kiyama kuwa ni mambo ya dhana na kukisia tu, ambao kwamba wamezamishwa katika ujinga, wameghafilika na dalili za yakini.