Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 53

51 : 53

Aya 53 of الذَّاريَات (51 : 53). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 53

أَتَوَاصَوۡاْ بِهِۦۚ بَلۡ هُمۡ قَوۡمٞ طَاغُونَ

Je! Wameambizana kwa haya? Bali hawa ni watu waasi.

Explanation & meanings · 1
  1. Je! Mmeusiana, mmeambizana, nyinyi kwa nyinyi kusema hivyo ndio maana mnalirejea hilo kwa hilo? Bali hao ni watu walio pindukia mipaka, ndio wakawafikiana katika kuwashutumu Mitume!