Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 38

51 : 38

Aya 38 of الذَّاريَات (51 : 38). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 38

وَفِي مُوسَىٰٓ إِذۡ أَرۡسَلۡنَٰهُ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ بِسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٖ

Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na katika kisa cha Musa yapo mawaidha. Tulipo mtuma kwa Firauni, na tukatilia nguvu kwa kumpa ushahidi ulio wazi.