Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 39

51 : 39
الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 39

فَتَوَلَّىٰ بِرُكۡنِهِۦ وَقَالَ سَٰحِرٌ أَوۡ مَجۡنُونٞ

Lakini alipuuza kwa sababu ya nguvu zake na akasema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu!

Explanation & meanings · 1
  1. Firauni akapuuza kumuamini Musa kwa kutegemea ati nguvu zake. Akasema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu!