Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 22

51 : 22
الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 22

وَفِي ٱلسَّمَآءِ رِزۡقُكُمۡ وَمَا تُوعَدُونَ

Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na katika mbingu ipo amri ya riziki zenu na kukadiriwa mnayo ahidiwa.