Skip to content
قٓ /

Aya 42

50 : 42

Aya 42 of قٓ (50 : 42). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

قٓ Aya 45
Sura · قٓ
Kiswahili · Barawani
50 : 42

يَوۡمَ يَسۡمَعُونَ ٱلصَّيۡحَةَ بِٱلۡحَقِّۚ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡخُرُوجِ

Siku watakapo sikia ukelele wa haki. Hiyo ndiyo siku ya kufufuka.

Explanation & meanings · 1
  1. Siku watapo sikia mpulizo wa pili wa Haki, nao ni wa kufufuliwa watu. Hiyo ndiyo siku ya kutoka kwenye makaburi.