Skip to content
قٓ /

Aya 43

50 : 43
قٓ Aya 45
Sura · قٓ
Kiswahili · Barawani
50 : 43

إِنَّا نَحۡنُ نُحۡيِۦ وَنُمِيتُ وَإِلَيۡنَا ٱلۡمَصِيرُ

Hakika Sisi tunahuisha na tunafisha, na kwetu Sisi ndio marejeo.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Sisi, peke yetu, ndio tunao huisha viumbe vyote, na tunavifisha duniani. Na kwetu Sisi, peke yetu, ndio marejeo Akhera.