Skip to content
المَائدة /

Aya 16

5 : 16

Aya 16 of المَائدة (5 : 16). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 16

يَهۡدِي بِهِ ٱللَّهُ مَنِ ٱتَّبَعَ رِضۡوَٰنَهُۥ سُبُلَ ٱلسَّلَٰمِ وَيُخۡرِجُهُم مِّنَ ٱلظُّلُمَٰتِ إِلَى ٱلنُّورِ بِإِذۡنِهِۦ وَيَهۡدِيهِمۡ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ

Mwenyezi Mungu huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu kwa Kitabu hichi anawaongoa kwenye njia ya uwokofu wanao elekea kutaka radhi zake, na anawatoa kwenye giza la ukafiri kuendea mwangaza wa Imani kwa tawfiki yake, na anawaongoza kwenye njia ya Haki.