Skip to content
الدُّخان /

Aya 52

44 : 52

Aya 52 of الدُّخان (44 : 52). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 52

فِي جَنَّٰتٖ وَعُيُونٖ

Katika mabustani na chemchem,

Explanation & meanings · 1
  1. Katika mabustani watapo kuwa ndani yake wanastarehe, na chemchem za maji yanayo pita chini yao, kwa sababu ya kuwakirimu wao kwa kutukuza hizo neema zao.