44 : 20
وَإِنِّي عُذۡتُ بِرَبِّي وَرَبِّكُمۡ أَن تَرۡجُمُونِ
Nami najikinga kwa Mola wangu Mlezi na ndiye Mola wenu Mlezi pia, ili msinipige mawe.
Explanation & meanings · 1
- Na mimi najilinda na Mwenye kuniumba msiweze kuniuwa kwa kunipiga mawe.