Skip to content
الدُّخان /

Aya 11

44 : 11
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 11

يَغۡشَى ٱلنَّاسَۖ هَٰذَا عَذَابٌ أَلِيمٞ

Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu!

Explanation & meanings · 1
  1. Moshi huu utawazunguka wale wanao kadhibisha walio sibiwa na ukame, watasema kwa wingi wa kitisho: Hii ni adhabu kali na chungu!