43 : 28
وَجَعَلَهَا كَلِمَةَۢ بَاقِيَةٗ فِي عَقِبِهِۦ لَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ
Na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee.
Explanation & meanings · 1
- Kwa kuwatangazia hivyo, likawa hilo Neno la Tawhidi, ni neno lenye kubakia katika dhuriya zake, ili wapate kulirejelea, waliamini.