Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 29

43 : 29

Aya 29 of الزُّخرُف (43 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 29

بَلۡ مَتَّعۡتُ هَٰٓؤُلَآءِ وَءَابَآءَهُمۡ حَتَّىٰ جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ وَرَسُولٞ مُّبِينٞ

Bali tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka ikawafikia Haki na Mtume aliye bainisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Washirikina hawakutimiza matumaini ya Ibrahim, wala Mimi sikuwapatiliza papo kwa papo, bali nimewastarehesha hawa ulio nao, ewe Muhammad, na niliwastarehesha baba zao kabla yao kwa namna mbali mbali za neema, mpaka ilipo teremka Qur'ani kuwaitia Haki, na akawajia Mtume mwenye kubaini wazi akiwaita.