43 : 27
إِلَّا ٱلَّذِي فَطَرَنِي فَإِنَّهُۥ سَيَهۡدِينِ
Isipo kuwa yule aliye niumba, kwani Yeye ataniongoa.
Explanation & meanings · 1
- Lakini mimi namuabudu Mwenyezi Mungu aliye niumba; kwani ni Yeye ndiye atakaye niongoza kwendea Njia ya Haki.