Skip to content
الشُّورى /

Aya 32

42 : 32

Aya 32 of الشُّورى (42 : 32). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 32

وَمِنۡ ءَايَٰتِهِ ٱلۡجَوَارِ فِي ٱلۡبَحۡرِ كَٱلۡأَعۡلَٰمِ

Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima.

Explanation & meanings · 1
  1. Na katika dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu, ni majahazi yaendayo katika bahari kama vilima virefu kwa ukubwa wake.