Skip to content
الشُّورى /

Aya 17

42 : 17
الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 17

ٱللَّهُ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ ٱلۡكِتَٰبَ بِٱلۡحَقِّ وَٱلۡمِيزَانَۗ وَمَا يُدۡرِيكَ لَعَلَّ ٱلسَّاعَةَ قَرِيبٞ

Mwenyezi Mungu ndiye aliye teremsha Kitabu kwa Haki, na Mizani. Na nini kitakacho kujuulisha ya kwamba pengine Saa ya Kiyama ipo karibu?

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu ndiye aliye teremsha Kitabu cha Muhammad na viliyo kuwa kabla yake katika Vitabu vya Mitume, vyenye kukusanya Haki na uadilifu. Na nini cha kukujuvya, pengine wakati wa Saa ya Kiyama ipo karibu na wewe hujui.