Skip to content
النِّسَاء /

Aya 68

4 : 68

Aya 68 of النِّسَاء (4 : 68). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 68

وَلَهَدَيۡنَٰهُمۡ صِرَٰطٗا مُّسۡتَقِيمٗا

Na tungeli waongoa Njia iliyo nyooka.

Explanation & meanings · 1
  1. Na kwa sababu ya kut'ii kwao kwa uweza wao inakuwa hakika Mwenyezi Mungu amewaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka isio pindukia kiasi kwa kuzidi au kupungua.